Wakufunzi na wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja katika kuhitimisha mafunzo hayo huko Kurasini Sabato ya leo..
Leo Kanisani Kurasini palionekana hivi kwa nje. Kwa mgeni angeweza kudhani amepotea njia. Wanazuoni hawa walikuwa wanahitimisha mafunzo yao ya miezi miwili ya kuwaandaa kufanya mahusiano na makundi maalumu yaliyopo katika jamii. Mahafali hayo yalifana vilivyo kama inavyoonekana pichani.
*************MATH 28:19-20 "BASI ENENDENI...''*************
0 comments:
Post a Comment