Monday, April 07, 2014

Ni moja kati ya makutano makubwa ya yenye maudhui kwa jamii ya wana wa MUNGU kuwaleta pamoja watumishi hawa wanawake toka maeneo mbalimbali ya kanisa wakiwa ni wajumbe mahsusi waliotumwa na kanisa au washiriki wa kawaida na ambao wangependa kuona ni mbali gani yameandaliwa na kundi kubwa hili..

MOTO:KUENDELEZA UTUME PANDA MBEGU

Mambo mengine ambayo yameainishwa kufanika hapa nia;-

>UJASIRIMALI

>MTAZAMO WA MWANAMKE KIBLIA IKILETWA NA WACHUNGAJI MBALIMBALI KAMA;-KINGAMKONO,KUYENGA,TILUMANYWA NA WENGINE WENGI

>WATAALAMU(MADAKTARI) WATAKUWEPO WAKIPIMA MATATIZO MBALIMBALI YAHUSUYO WANAWAKE NA PIA WANAUME

WAWEZESHAJI WAKUU WAKIWA NI;-MCHUNGAJI DAVID MBAGA TOKA KANISA LA MANZESE NA MCHUNGAJI MALEKANA



MWENYEKITI WA KONFERENSI YA MASHARIKI MWA TANZANIA,MCHUNGAJI MARK MALEKANA AMBAE NDIE MGENI RASMI AKIWA NA MWENYEKITI WA IDARA YA HUDUMA YAWANAWAKE KWA KONFERENSI YA MASHARIKI MWA TANZANIA MAMA LEDIANA MAGANDA

HUU NDIO MOTO:'KUENDELEZA UTUME PANDA MBEGU'

 MWENYEKITI WA IDARA YA HUDUMA YA WANAWAKE KWA KONFERENSI YA MASHARIKI MWA TANZANIA MAMA LADYANNA MAGANDA AKIWA NA MMOJA WA  MJUMBE WA SEMINA HII


          



WANA WA KIKE TOKA MAKANISA MBALIMBALI HAPA JIJINI DAR ES SALAAM WAKIWA KATIKA MAANDAMANO NA GWARIDE FUPI NDANI YA VIWANJA VYA KANISA LA MWENGE SIKU YA LEO


BORN TO PRAISE WAKIIMBA WAKATI WA UFUNGUZI WA SEMINA HIZI KATIKA KANISA LA MWENGE SIKU HII YA LEO






HAWA NI KWAYA WANAWAKE TOKA   KANISA LA MWENGE SDA KATIKA HUDUMA YA UIMBAJI SIKU HII




                           *************MATH 28:19-20 "BASI ENENDENI...''*************

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA