Ni vijana Waadventista Wasabato wasomao katika vyuo vikuu na kati (TUCASA) wakisheherekea mahafari ya kwanza tangu jina la TUCASA(Tanzania Universities and Colleges Adventist Students Association) kuzinduliwa rasmi mwaka jana tangu hapo awali kikitumia jina THISDASO(Tanzania High Institutes Seventh Day Adventist Students Association)
Chama hiki kikiwa chini ya makanisa mama mbalimbali hapa nchini kikiwa na matawi 38,yaani DAR ES SALAAM 26,ZANZIBAR 4 na PWANI 8.Ndani ya matawi haya kukiwa na wanachama ambao pia wakiwa chini ya viongozi wao,matawi haya ni
kama;IFM,ARDHI,DUCE,ST.JOHN,DIT,MUHAS,CBE,MWL.NYERERE,NIT n.k..
Mahafari ya TUCASA imefanyika katika tawi la DUCE ikiwa na mamia ya washiriki toka matawi na makanisa mbalimbali,kukiwa na vikundi na kwaya kama;-Acacia Singers,Hamony Brothers,The Heroes,Ambassadors Temeke na Charpter Two..
Changamoto mbalimbali zikiwa ni mahali pa kuabudia,vifaa vya kufanyia kazi kama camera na vingine,kutopewa uhuru wa kuabudu katika vyuo mbalimbali hasa pale ratiba za mitihani au majaribio(tests) kupangwa siku ya sabato.
 |
Kulia ni Emmanuel,Daniel,Lushinge Silvan na dada Irene aliyechuchumaa |
 |
Baadhi ya waimbaji wa TUCASA DAR ZONE wakiimba wimbo ambao waliuimba kipindi wakiwa RETREAT-DODOMA mapema mwezi jana... |
 |
SIMON LUSHINGE toka IFM akipokea cheti cha kuhitimu |
 |
Baadhi ya waimbaji wa Acacia Singers wakifatilia yale yanayojili hapa ukumbini |
 |
Mr.Simon Lushinge(kushoto) na Emmanuel Maduhu wahitimu toka IFM |
 |
Mr.Simon Lushinge(kushoto) na Emmanuel Maduhu wahitimu toka IFM |
 |
Baadhi ya waimbaji wa TUCASA DAR ZONE wakiimba wimbo ambao waliuimba kipindi wakiwa RETREAT-DODOMA mapema mwezi jana... |
 |
Kulia dada Irene,Emmanuel,Daniel na Lushinge |
 |
Dr.Pendo Masiga ndiye alikuwa mgeni rasmi siku ya mahafari hii |
 |
Wahitimu wa mwaka wa tatu na nne toka matawi ya vyuo mbalimbali hapa kanda yz mashariki mwa Tanzania |

Kikundi cha The HEROES toka Tabata KIMANGA wakitoa huduma ya uimbaji |
 |
Kikundi cha The HEROES toka Tabata KIMANGA wakitoa huduma ya uimbaji |
 |
Harmony Brothers wakitoa huduma ya uimbaji,moja kati ya vikundi kinachoundwa na vijana wa TUCASA DAR ZONE.. |
0 comments:
Post a Comment