[PICHA NA FAMILY MUSIC]
Tunatarajia kufanya tamasha la uimbaji na utambulisho wa album yetu ya "TUTABADILISHWA" kati ya tarehe 1 au 7 ya mwezi wa saba mahali tutawajulisha..hivyo kwa vikundi vyote ambavyo mngependa kushiriki nasi katika tamasha hilo wasiliana nasi kwa 0766069030,0715464847 au tuinbox,.bwana na awabariki nyote
![]() |
FAMILY MUSIC KIKUNDI TOKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO MZIZIMA DAR ES SALAAM |
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
0 comments:
Post a Comment