Dhumuni la picnic hii ikiwa ni kuunganisha vijana wa rika lote kwa
mafundisho na michezo mbalimbali.Vijana hawa wakiongozwa na Mzee wa
kanisa na mtangazaji wa morning star redio,Manase Lusaka wamejumuika kwa
baadhi ya michezo katika ufukwe wa Msasani ikiwa ni moja kati ya
malengo na mipango ya vijana hawa kupata mda wa kutafakari neno la Mungu
wakiwa katika mazingira tofauti na kanisani kwao..
 |
| JESCA AKIWA KIJANA MDOGO ADVENTURER |
 |
| KULIA MANASE NA TUMAINI(KUSHOTO) |
 |
| VIJANA WADOGO WATAFUTA NJIA(PATHFINDERS) WAKIWA NA VIONGOZI WAO |
 |
| SEBASTIAN MALONGOZA MMOJA KATI YA VIJANA KINONDONI SDA CHURCH... |
 |
VIJANA WADOGO WATAFUTA NJIA(PATHFINDERS) WAKIWA NA VIONGOZI WAO
|
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
0 comments:
Post a Comment