| Mgeni rasmi alipokua akitoa hotuba yake siku hiyo ya mahafali |
| Wahitimu walipokua wakikata keki yao hapo jana kwenye mahafali yao |
| Risala ilipokua ikisomwa na wahitimu hao |
| Wahitimu ya stashahada na shahada walipokua wakiimba nyimbo ya kuwaaga wezao wanao baki |
| V.O.V nao walikuwepokatika mahafali hiyo |
| Dean of student alipokua akitoa maneno machache kwa wahitimu |
| Hawa ni waimbaji toka kigamboni walipokua wakiiba nyimbo |



0 comments:
Post a Comment