Huduma ya shule Sabato ambayo pia uhusisha washiriki wa kanisa na kufanya moto au kauli mbiu ya shule hii ya Sabato kuitwa "Moyo wa Kanisa unaodunda".
Katika huduma hii ya shule Sabato ya kuhitimisha kambi ilienda sanjari na kusomwa taarifa kwa mgawanyo wa makundi manne yanayofanywa kwa kuhusisha washiriki kama vile;-usomaji wa biblia,ushirika,kuifikia jamii na utume.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

WAHUDUMU WA SHULE SABATO,KUTOKA KULIA NI MR.ADAM NYANDO ALIYEKUWA MWENYEKITI KIPINDI CHA SHULE SABATO NA KUSHOTO NI MR.NYAHONYO AKIWA MKARIMANI KWENYE KIPINDI HIKI.. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment