Ni siku ya Sabato ya kuhitimisha makambi la mtaa wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni,ambapo pia siku hii kumekuwa na huduma ya ubatizo na watu 15 kubatizwa siku hii na kumpokea Bwana kuwa Mwokozi wa maisha yao....
MCHUNGAJI WA MTAA WA MAGOMENI JONAS SINGO AKIJIANDAA KWA HUDUMA YA UBATIZO NA HAPA AKIWAITA MASHEMASI KUFANYA HUDUMA HII MAPEMA.. |
|
HUDUMA YA UBATIZO IKIENDELEA |
HUDUMA YA UBATIZO IKIENDELEA |
HUDUMA YA UBATIZO IKIENDELEA |
HUDUMA YA UBATIZO IKIENDELEA |
0 comments:
Post a Comment