Waswahili wanasema "zawadi ni zawadi" ila ni pale tu inapotoka na kupokewa kwa moyo wa shukrani. Hivi ndivyo kanisa la waadventista wasabato Magomeni lilivyokarimu wageni wake wote kwa zawadi.
 |
| Mch. Mashishanga akitoa zawadi ya vitambaa vya mkononi kwa kwaya ya kanisa la Magomeni mwembechai |
 |
| Kikosi cha zawadi maalum kikiongozwa na mama mchungaji Jonas Singo wa mtaa wa Magomeni |
 |
| Mzee John Odera akipokea zawadi kwa niaba ya Mch. Mjema |
 |
| Mch. Malekana akipokea zawadi kutoka kwa mzee Kamzora |
 |
| Mzee Msafiri Mbibo akitoa zawadi kwa mch. Davis na mkewe |
 |
| Akitoa mkono wa Shukrani |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment