Idadi ya wapinzani wa "Kimo" cha Mch. Jonas Singo imeendelea kuongezeka baada ya awali kuwepo na hoja nani mrefu zaidi ya mwenzake kati yake na Mch. David Mbaga wa mtaa wa Manzese kila wanapokuwa pamoja. Sasa huyu ni mch. Greg Davis kutoka Ghana akionesha kwamba kamzidi urefu wakati mch. Singo akidai wanalingana.
Kazi kwako mtazamaji wetu...
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Kazi kwako mtazamaji wetu...
Mch. Jonas Singo na Mch. Greg Davis wakipimana urefu |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment