Mahubiri haya yalianza hapo 16/8.2014 hadi leo 6/9/2014 ikiwa ni jumla ya majuma matatu ya uinjilisti kwa habari njema mpaka juma la 2,watu 244 wabatizwa na kumpokea Bwana.
Taarifa zingine tujikumbushe mkutano huu ulivyoanza..
|
MCHUNGAJI MBWANA AKIPEWA MKONO NA KIJANA WA PATHFINDER KATIKA TUKIO LA MAPOKEZI SIKU YA UFUNGUZI..Mkutano huu umeanza kwa matukio haya,likianza gwaride toka kwa vijana wa Pathfinder(PF) na Adventist youth(AY) kwa kumpokea mgeni rasmi ambaye ni makamu wa Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wasabato ulimwenguni Mchungaji Geophrey Mbwana akiwa na Mchungaji Caleb J.Migombo. |
|
BAADHI YA WABATIZWA KATIKA JUMA LA PILI LIKIISHA |
|
BAADHI YA WABATIZWA KATIKA JUMA LA PILI LIKIISHA |
|
BAADHI YA WABATIZWA KATIKA JUMA LA PILI LIKIISHA Mkutano huu umeanza ukienda sambasamba na muendelezo wa matukio ya uinjilisti wa nyumba kwa nyumba uliofanywa na wakazi wa Mji wa Moshi tangu mwezi 5(tano) na wakazi hawa ambao pia ni washiriki wa makanisa mama wakifungua madarasa ya kujifunza biblia.. |
Ufunguzi huu wa mkutano pia ulitoa picha ya ratiba itakavyokuwa kwa siku hizi za mkutano ambao utakuwa ukianza saa3 asubuhi hadi saa12 jioni ukiwa na vipindi vifuatavyo;-Afya,Computer,Ujasiriamali,Ndoa na familia,Uimbaji na Mfundisho makuu ya imani...
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment