Wednesday, September 10, 2014

PASTOR STEVEN BINA KUTOKA ECD KENYA APOKELEWA KWA KISHINDO KANISANI FOREST NA WAAMINI WA KANISA LA SDA MTAA WA MBEYA KWAAJILI YA KUHUDUMU KATIKA MAKAMBI.
MUDA:TAREHE 06/09/2014 HADI 13/09/2014
MOTO WA KAMBI: MUNGU WA MIUJIZA
FUNGU KUU: YOHANA 6:14 " Basi watu wale, walipoiona ishara aliyoifanya, walisema, Hakika huyu ni nabii yule ajaye ulimwenguni."
ENEO LA MKUTANO: FOREST SDA CHURCH.
WAHUBIRI WENZA NI:
1. PR. RABSON NKOKO-COMMUNICATION& STEWARDSHIP DIRECTOR-STU
2. PR. HARUNI N.E KIKIWA-COMMUNICATION & HEALTH MINISTRIES DIRECTOR-SHC
KARIBU SANA TUBARIKIWE PAMOJA.
vijana wa PF wakimvika skafu mgeni rasm huyo ambaye ni mkuu wa  mawasiliano



Mkuu wa mawasiliano  wa wasabato kanda ya Afrika masahariki akikagua gwaride la vijana wa PF





****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693/0654919206***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA