Monday, August 25, 2014

Hatimaye mnenaji mkuu Mch. Greg Davis na mkewe Bi. Chrysolite Doreen Davis wawasili katika kambi la mtaa wa Magomeni, na leo hii Jumatatu wametambulishwa na mchana huu atasimama kwa ajili ya hotuba...
KARIBU KAMBI LA MTAA WA MAGOMENI
Mch. Mark Malekana akiwatambulisha wageni kwa mkutano
Mch. Mark Malekana akiwaeleza jambo wageni
Kwaya ya kanisa la Mikongeni ikihudumu katika mkutano
Wahudumu katika mkutano huu na wasifu wao


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA