Wednesday, August 27, 2014


kwaya ya kanisa la Wasabato Mikongeni ikihudumu
Kwaya ya Mikongeni
Wahutubu wa kambi hili, kutoka kushoto ni mch. Malekana, Mch. Davis na mkewe mama Chrysolite
Mch. Greg Davis akinena na mkutano na mzee Bina akifasiri
Tandasi R Tandasi, moja ya wazee wa kanisa la Magomeni akiongea na mkutano
Kwaya ya kanisa la Magomeni mwembechai ikitoa huduma
Somo la jioni likiendelea
Kwaya ya kanisa la Magomeni
Wanakambi wakiendelea kufuatilia mafundisho kwa umakini
Wanakambi
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA