Sunday, August 31, 2014

Hayo yamesemwa na vijana wadogo toka Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni katika kuhitimisha kambi kwa mwaka 2014 lilifanyika kanisani hapo tarehe 30 August,2014.
Watoto hawa wakionyesha walichojifunza kwa juma zima kambi wameonyesha huduma za nyimbo,maigizo za kueleza visa ndani ya maigizo hayo,kukariri mafungu ya Biblia na kuhubiri..
WATOTO WAKIIMBA WIMBO WAKUINGIA MAHALA PA MAONYESHO YA PROGRAM ZAO
WATOTO WAKIIMBA NYIMBO
WATOTO WAKIIMBA NYIMBO
WATOTO WAKIIMBA NYIMBO
IGIZO FUPI LA MAMA WA SEREPTA LIKIANZA HIVI..
WATOTO WAKIIGIZA KISA CHA ELIYA ALIPOOMBA JUU YA CHAKULA CHA MAMA WA SEREPTA
WATOTO WAKIONYESHA MTU ALIYE MDHAMBI NA MBAYA WA SURA ILIYOHARIBIWA BAADA YA MATOKEO YA DHAMBI. 
WATOTO WAKIONYESHA PICHA YA MTU ALIYEZALIWA UPYA NA ALIYEZUNGUKWA NA UPENDO WA YESU
MTOTO AKITOA OMBI LA KUFUNGA PROGRAM ZAO
MWALIMU WA WATOTO AKITOA MACHACHE JUU YA WATOTO HAWA NA UHITAJI WA MCHANGO WA WAZAZI JUU YA WATOTO HAWA..
..



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA