Kupitia mikutano ya makambi inayoendelea sehemu mbalimbali, hatimaye watu wengi wameendelea kumpokea Yesu kama BWANA na Mwokozi wao kwa njia ya ubatizo baada ya watu wapatao 32 kubatizwa katika mitaa miwili iliyopo mkoani Morogoro yaani mtaa wa Misufini na Kihonda.
Wakati mtaa wa Misufini chini ya Mch. D. Mmbaga na kwaya ya Ubungo Hill ukibatiza watu wapatao saba (7), mtaa wa Kihonda chini ya Mch. S. Singo na kwaya ya Yombo Dovya ulibatiza watu Ishirini na tano (25).
Makambi yote haya yanategemewa kuhitimishwa Jumamosi ya tarehe 09/08/2014 kwa sherehe kubwa.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

![]() |
Mch. Charles Mndambi akijiandaa kuingia katika kisima cha ubatizo kuendesha huduma takatifu ya ubatizo katika mtaa wa Misufini manispaa ya Morogoro. |
![]() |
Mch. Mndambi akiendelea na huduma ya ubatizo na watu wakishuhudia. |
![]() |
Mch. Mndambi akiendelea na huduma ya ubatizo |
![]() |
Mch. Mndambi akiendelea na huduma ya ubatizo |
![]() |
Wanafamilia wakifurahia matendo makuu ya Mungu baada ya mmoja wa familia yao kupokea Yesu kwa njia ya ubatizo |
Kwa taarifa na picha za sherehe za hitimisho ya makambi haya endelea kufuatia INJILILEO. picha zote na Peter Joseph.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment