Saturday, August 09, 2014

Dr. Ruguri akihutubia washiriki katika kambi la Kirumba Mwanza mara baada ya kuweka jiwe la msingi

Dr. Blasious Ruguri akifungua jiwe la msingi wa jengo la kanisa la kirumba Mwanza 

Kutoka kushoto ni Ndugu Mayani mhazini wa konferensi ya nyanza kusini, Ndugu Gideon Msambwa mkurugenzi wa idara ya mawasiliano union konferensi ya kaskazini wa Tanzania na Ndugu Eliamini Kisimbo mhazini wa Shule ya Sekondari ya Nyanza iliyopo jijijni Mwanza wakiimba wimbo katika ibada ya Kambi la mtaa wa kirumba mara baada ya Dr. Blasious Ruguri kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo jipya la kanisa la Kirumba

Dr. Ruguri (wapili toka kushoto waliovaa kofia) akionyeshwa ramani ya jengo ya jipya la kanisa la Kirumba PICHA NA www.facebook.com/ntucadventist









****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA