Makambi haya yameanza tarehe 3/8/2014 yatahitimishwa siku ya tarehe 9/8/2014 yakifanyika maeneo ya kanisa la Shinyanga mjini sda..
Mnenaji mkuu wa makambi haya ni Mchungaji Alex Ibrahimu Juma toka mtaa wa Nyakato-Mwanza pia wakiwepo waimbaji wa Pasiansi sda toka Pasiansi-Mwanza nao wakitoa huduma ya uimbaji katika makambi haya...
****TUMA PICHA NA VIDEO WASAP 0713 059 073 NA 0717 367 693***

![]() |
| HAPA NDIPO WANA NA BINTI ZA MUNGU WAKIPATA PROGRAMU MBALIMBALI TOKA KWA WALIOANDALIWA... |
![]() |
| Waimbaji wa kwaya ya Pasiansi kutoka Mwanza wakiimba baada ya mchungaji Alex Ibrahimu Juma kutoka mtaa wa Nyakato mwanza kutoa neno la uzima wakati wa mchana leo tarehe 04/08/2014. Sikukuu hii ya vibanda inaendelea katika viwanja vya kanisa la Waadventista wasabato Shinyanga Mjini. Kwaya hii ndio wageni waalikwa kwa upande wa uimbaji. |
![]() |
| WASHIRIKI WAKIFATILIA KILE KINACHOJIRI KATIKA KAMBI HILI LINALOENDELEA... |
![]() |
| WAIMBAJI WA SHINYANGA SDA CHOIR WAKIHUDUMU KWA UIMBAJI KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA SHINYANGA MJINI... |
![]() |
| WATOTO WAKIWA KATIKA MADARA YAO YAKUJIFUNZA NYIMBO,MAFUNDISHO NA MICHEZO... |
![]() | |
|
****TUMA PICHA NA VIDEO WASAP 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment