Wednesday, August 06, 2014

 Makambi haya yanafanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Misufini katika manispaa ya Morogoro na yatahitimishwa siku ya sabato ya tarehe 09/8/2014 katika viwanja vya kanisa hilo,mtaa huu wa misufini una jumla ya makanisa 4 yaani Misufini,Mzinga,Mafiga na Sua.. ...
 Mnenaji mkuu ni Mchungaji David Mbaga toka mtaa wa Manzese jijini Dar Es salaam na katika kipindi cha maidara ni Mchungaji Shashinhale Wanna na mafundisho makuu anahudumu Mchungaji Charles Mndambi......
MCHUNGAJI MBAGA AKISISITIZA JAMBO...
MCHUNGAJI DAVID MBAGA AKIZUNGUMZA NA WANAKUTANO...

KWAYA YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO UBUNGO HILL TOKA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM IKIHUDUMU KATIKA MKUTANO.KWAYA HII IMEALIKWA KUHUDUMU KWA JUMA HILI LA MAKAMBI YA MWAKA HUU HAPA MISUFINI.



 
WANA MKUTANO WAKIITIKIA MOJA YA WITO KATIKA MAKAMBI HAYA...

WANA MKUTANO WAKIITIKIA MOJA YA WITO KATIKA MAKAMBI HAYA...


KUTOKA KULIA NI PETER JOSEPH,ERICK CHAULO,NATHAN NA MICHAEL SHOGHOLO KATIKA PICHA YA PAMOJA AMBAO NI MOJA KATI YA VIJANA WA KANISA WANABARIKIWA NA MAKAMBI HAYA...PICHA NA PETER JOSEPH
 **KWA TAARIFA ZAIDI JUU YA KAMBI HILI ENDELEA KUTUFUATILIA



****TUMA PICHA NA VIDEO WHATSAPP 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA