KWAYA YA NYAMWAGA WAKIIMBA KATIKA KAMBI HILI |
KWAYA YA KOBORI IKIIMBA KATIKA MAKAMBI |
KWAYA YA KOGESANGOLA IKIIMBA KATIKA KAMBI HILI |
MCHUNGAJI ALEXANDER MWITA MWENYE SUTI NYEUPE AKIHITIMISHA KAMBI HILI |
MCHUNGAJI ALEXANDER MWITA MWENYE SUTI NYEUPE AKIHITIMISHA KAMBI HILI |
WAHUDUMU KATIKA HUDUMA KUU KATIKA KUHITIMISHA KAMBI HILI |
KWAYA YA KOGESANGOLA KUSHOTO WAKIWA NA VIJANA WATAFUTA NJIA KATIKA KUHITIMISHA KAMBI HILI.. |
WASHIRIKI WAKIFATILIA KINACHOJILI HAPA |
KWAYA MBALIMBALI ZIKIWA ZIMEUNGANA KUIMBA WIMBO KATIKA KUHITIMISHA KAMBI HILI.. |
HAPA VIJANA WATAFUTA NJIA WENYE SALE ZA KIJANI NA WAVUMBUZI WENYE SALE ZA BLU WAKIWA KATIKA KUONESHA PROGRAM ZAO SIKU YA KUHITIMISHA KAMBI HILI PICHA NA JAMES MASERO-MUSOMA MARA |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment