Vijana wadogo yaani watafuta njia na wavumbuzi toka mtaa wa Salasala wamehudumu katika hitimisho la kambi hili na kambi hili likiwa limehudumiwa na wachungaji kama;-Mchungaji Wanjara toka mtaa wa Mvomero,Mchungaji Msholla na Mchungaji mwenyeji Mchungaji Mjema..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
VIJANA WADOGO WAVUMBUZI NA WATAFUTA NJIA WAKIANZA KUINJIA KATIKA UWANJA WA KANISA HILI LA MBEZI JUU KUONESHA PROGRAM ZAO SIKU HII |
WATOTO KATIKA IBADA WAKIIMBA NYIMBO ZAO NA KUCHEZA |
VIJANA WAKIONESHA PROGRAM ZAO ZA KUKARIRI MAFUNGU YA BIBLIA |
VIJANA WADOGO HAWA WAVUMBUZI WAKIIMBA KATIKA KIPINDI CHA IBADA YA WATOTO |
VIJANA WADOGO HAWA WAVUMBUZI WAKIIMBA KATIKA KIPINDI CHA IBADA YA WATOTO |
VIJANA WADOGO HAWA WAKIWA KATIKA IBADA |
WAKIPANGWA NA WALIMU WAO TAYARI KUANZA PROGRAMU SIKU HII.. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment