Kambi hili limehitimishwa kwa ubatizo mkubwa ambapo watu 35 wamebatizwa,kambi hili lilihudumiwa na Wachungaji David Mbaga toka mtaa wa Manzese ambaye alihudumu kwa nafasi ya mnenaji mkuu na Mchungaji Stephano Mganga akihudumu katika mafundisho makuu..
|
MCHUNGAJI MGANGA AKIFANYA HUDUMA YA UBATIZO SIKU HII YA KUHITIMISHA KAMBI LA CHALINZE.. |
|
BAADA YA UBATIZO AMBAPO WATU 35 WALIMPOKEA BWANA KWA KUBATIZWA PIA KUKAFANYIKA TUKIO LA KUWAPOKEA WABATIZWA .. |
|
BAADA YA UBATIZO AMBAPO WATU 35 WALIMPOKEA BWANA KWA KUBATIZWA PIA KUKAFANYIKA TUKIO LA KUWAPOKEA WABATIZWA .. |
|
KWAYA YA BAGAMOYO SDA NDIYO ILIKUWA KWAYA ALIKWA KWA SIKU ZA MAKAMBI HAYA. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment