Sikukuu hii ya vibanda ambayo ilifanyika kwa juma moja yaani siku saba na hatimae siku ya mwisho ilihitimishwa kwa matukio haya kwa njia ya picha...
Makambi haya yalifanyika katika kiwanja cha michezo cha Jamhuri Morogoro mjini na kukiwa na mahudhurio ya mamia ya washiriki toka sehemu mbalimbali mkoani hapo....
Katika huduma hizi za makambi,mchungaji Musa Mika(mkuu wa idara ya mawasiliano union ya kusini mwa Tanzania) alikuwa mnenaji mkuu wa makutano haya,maidara alikuwa Enos Mwakalindile toka Dodoma na mafundisho makuu alikuwa Charles Mndambi....
 |
| KWAYA YA ILALA SDA KATIKA PICHA YA PAMOJA..... |
 |
| ROYAL ADVENT WAKIWA JUKWAANI KATIKA HUDUMA YA UIMBAJI... |
 |
| ENEO LA KIBWETA CHA KAMBI HILI LA MOROGORO 2014 KATIKA VIWANJA VYA MICHEZO JAMHURI.... |
 |
| UIMBAJI WA PAMOJA-KWAYA YA ILALA SDA CHOIR,BIGWA SDA CHOIR NA MASHAHIDI SDA CHOIR WAKIIMBA WIMBO WA 'THE GREAT HALELUYA TO THE LORD'.. |
 |
| MWALIMU WA KWAYA YA MASHAHIDI SDA MOROGORO AKIWA NA WAIMBAJI WA ILALA SDA... |
 |
| WASHIRIKI WAKIWA KIWANJANI HAPA WAKIBARIKIWA NA HUDUMA ZA KAMBI HILI SIKU HII.... |
 |
| MHUTUBU MKUU MCHUNGAJI MUSA MIKA WA PILI TOKA KUSHOTO ALIYE NA MIWANI NA AKIFATIWA NA MWENYEKITI WA KONFERENSI YA MASHARIKI MWA TANZANIA MCHUNGAJI MARK.W.MALEKANA.. |
 |
| WAIMBAJI WA KWAYA ILALA SDA WENYE MAJOHO WAKIHUDUMU NA ALIYEKATIKATI NA SAMWEL MHAZINI NA WA KULIA MWISHO NI GLADMAN...... |
 |
| MWALIMU MBORIGO NA WANAFUNZI WA SEKONDARI LAMIRIAM YA MOROGORO.... |
 |
WANAFUNZI WA LAMIRIAM WAKIWA NA WAIMBAJI WA ILALA SDA WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA...
PICHA ZOTE NA ABISHUA JM
|
0 comments:
Post a Comment