![]() |
| UNION CONFERENCE YA KASKAZINI MWA TANZANIA IMEZINDUA STUDIO BORA YA KISASA KWA AJILI YA KURECORD KWAYA, MATANGAZO na Mahubiri jijini Arusha, Kama wewe ni mwimbaji au muhubiri tumia fursa hii iliyoko karibu nawe zaidi na hii ni maaalum sana kwa watu wote wa kanda ya kaskazini mwa Tanzania na uliyeko nje ya kaskazini pia hufungwi na sheria karibu sana ufanye kazi zenye viwango bora na maadili bora ya kikristo. . ...... picha na http://ntuc.adventistafrica.org |
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693 0713-059 073***




0 comments:
Post a Comment