Mwenyekiti wa Northern Asia Pasific Division Pr Lee Jairyong Amewasili nchini na hasa Arusha kwa ajili ya kumuunga mkono mwenyekiti wa Northern Tanzania Union conference Dr Godwin Lekundayo kusukuma gurudumu la injili katika maeneo ya umasaini na awamu hii mkutano mkubwa ume fanyika katika kijiji cha Eltulele sanawari juu ukiratibiwa na kanisa la waadventista wasabato mjini kati Arusha, zaidi ya watu hamsini wamebatizwa.Haleluya.
Mwenyekiti wa union konferensi ya kaskazini mwa Tanzania Dr. Godwin Lekundayo akiwa na mwenyekiti wa Division ya kaskazini mwa Asia Pasifiki Pr Lee Jairyong (Wapili kutoka Kushoto) na wenzake wakionyeshwa mazingira ya ofisi kuu ya kanisa la Waadventista Wasabato union konferensi ya kaskazini mwa Tanzania. Aidha viongozi hawa wamewasili nchini tarehe 31 Julai 2014 kwa ajili ya mkutano wa injili katika eneo la Sanawari juu kijiji cha Eltulelee.
 |
| VIONGOZI HAWA WAKITETA JAMBO KATIKA ZIARA HII |
 |
| NA HAPA WAONGEA NA WAZEE WAKIMASAI KATIKA MAENEO HAYO... |
 |
| PICHA YA PAMOJA |
*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
0 comments:
Post a Comment