Sunday, August 03, 2014

Hii sikukuu ya vibanda iliyoasisiwa na wazee wetu waliokuwa mateka lakini Mungu kupitia Musa aliwaokoa toka katika mkono wa Farao mfalme wa Misri..Sikukuu hizi hufanyika kila mwaka mara moja zikiwa na pamoja na hamasa ya mafundisho kwa kila rika ikiwa pamoja na mafundisho ya vijana na mahusiano yao,mafundisho ya wanandoa na changamoto zao pia na mafundisho ya neno la Uzima yenye lengo la kuunganisha mafundisho hayo yote kwa Muumbaji wetu ambaye pia ndiye muhasisi wa mahusiano yetu Mungu na Baba yetu....
Mtaa wa Kurasini ulikuwa  mtaa mkubwa sana baadae kuugawa na kufanyika mitaa mwingine wa Mbagala,mtaa wa Kurasini una makanisa matatu yaani Kijichi,Mtoni na Kurasini,yakiwa ni makambi ya nne tangu kugawa mitaa hii,leo wamefanyikiwa kuhitimisha makambi hayo yalioanza jumapili iliyopita ikiwa na wachungaji kama;-Joram Machage(mchungaji mtaa wa Kurasini),Reuben Kingamkono(mchungaji mtaa wa chuo kikuu),Baraka Bhutoke(mchungaji mlezi chuo cha Udom),Nelson (mchungaji mafunzoni akitokea Bugema) na Pr.Reuben.T.Mugerwa toka Uganda akitoa mafundisho makuu kwa juma zima hili la makambi..
MOTO WA MAKAMBI 2014-MTAA WA KURASINI....
WACHUNGAJI WAKIFANYA HUDUMA YA KUBARIKI WATOTO..

WACHUNGAJI WAKIFANYA HUDUMA YA KUBARIKI WATOTO.....


WACHUNGAJI WAKIFANYA HUDUMA YA KUBARIKI WATOTO.....

WACHUNGAJI WAKIFANYA HUDUMA YA KUBARIKI WATOTO......

WAZEE WA MAKANISA WAKIWA KATIKA MAOMBI KWENYE HUDUMA YA KUBARIKI WATOTO....

WASHIRIKI WAKIWA KWENYE MAOMBI....



WAIMBAJI WA MTAA WA KURASINI TOKA KWAYA ZOTE ZA MTAA HUU WAKIIMBA WIMBO WA KUKARIBISHA HUDUMA KUU...

WAIMBAJI WA MTAA WA KURASINI TOKA KWAYA ZOTE ZA MTAA HUU WAKIIMBA WIMBO WA KUKARIBISHA HUDUMA KUU.....
WADAU WA HABARI TOKA CHANNEL TEN KATIKA KUKUSANYA MATUKIO SIKU HII...

NAMSIFU NA JOSEPH OOLA WAKIIMBA KATIKA KIPINDI CHA UIMBAJI.....

KWAYA YA VIJANA KURASINI SDA WAKIIMBA...

WATOTO WAKIANZA PROGRAM ZAO KWA HIVI....

WATOTO WAKIWA KATIKA KUIMBA WA KUONESHA WALICHOJIFUNZA KWA JUMA HILI LA MAKAMBI.... 

WATOTO WAKIWA NA WALIMU WAO KATIKA PROGRAMU ZA MAKAMBI

KWAYA YA KURASINI SDA WAKIIMBA....

KWAYA YA KURASINI SDA WAKIIMBA....

WACHUNGAJI KATIKA HUDUMA YA KUKARIBISHA WALIOBATIZWA IJUMAA....

WACHUNGAJI KATIKA HUDUMA YA KUKARIBISHA WALIOBATIZWA IJUMAA

WAZEE WA MAKANISA WA MTAA HUU WALIPATA FURSA PIA YA KUWAPA MIKONO WABATIZWA...

KWAYA YA VIJANA TOKA KANISA LA MTONI  SDA WAKIIMBA.....


MCHUNGAJI WA MTAA WA KURASINI,JORAM MACHAGE AKITOA UTARATIBU KWA SIKU HII....

SAMSON KIBASO MWALIMU NA MWIMBAJI KWAYA YA KURASINI SDA AKIWA NA KWAYA YA KURASINI HAPA WAKIIMBA WIMBO WA 'YESU AMENIPA UWEZO'....

KWAYA YA KANISA KIJICHI SDA WAKIIMBA....

KWAYA YA KANISA  MTONI SDA WAKIIMBA.....

RITHA MWIMBAJI SAUTI YA KWANZA KATIKA KWAYA YA KURASINI SDA WAKATI KWAYA HIYO WAKIIMBA WIMBO WA SAMARITANI.....

RITHA MWIMBAJI SAUTI YA KWANZA KATIKA KWAYA YA KURASINI SDA WAKATI KWAYA HIYO WAKIIMBA WIMBO WA SAMARITANI.....

KUSHOTO NI MCHUNGAJI MUGERWA MNENAJI MKUU NA MCHUNGAJI BARAKA BHUTOKE AKIWA MKARIMANI WAKE SIKU HIZI ZA KAMBI HILI..


*** TUMA PICHA NA HABARI KWA WATSUP SASA NO 0717-367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA