Katika picha ni baadhi ya matukio yaliyofanyika katika hitimisho la kambi la mtaa wa Kihonda katika manispaa ya Morogoro, lililohudumiwa na Mch. Jonas Singo kutoka mtaa wa Magomeni na kwaya ya kanisa la wasabato Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.
Mch. Jonas Singo akizungumza na mkutano |
Amenya Amosi, mwalimu wa kwaya ya Yombo Dovya akiandaa muziki kwa ajili ya watoto |
Joseph Majura, kutoka kanisa la wasabato Ilala akiwaongoza watoto kwenda kuonesha matendo waliyojifunza kwa juma zima |
Watoto wakionesha matendo yao |
Chama cha watafuta njia (PFC) wakionesha matendo yao |
Chama cha watafuta njia (PFC) wakionesha matendo yao |
Watu jamii ya Maasai pia ni moja ya washiriki katika mtaa huu, hapa walipata nafasi ya kuonesha matendo yao pia |
Wakitoka baada ya kumaliza huduma yao |
Piere Ng'wana Joseph, alikuwepo akifuatilia tukio zima |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment