Monday, August 11, 2014

Mchungaji Jonas Singo wa mtaa wa Magomeni Dar es Salaam ameonesha uwezo wa kusherehesha sherehe. Tukio hili limetokea katika sherehe za kuhitimisha kambi la mtaa wa Kihonda manispaa ya Morogoro alipokuwa mnenaji mkuu kwa juma zima.
Sherehe hii ilifana kwa kukumbuka wanandoa waliopo katika mkutano kwa kuwakumbusha tendo la upendo la kulishana keki iliyoandaliwa na mtaa huu.
Shangwe ilizidi pale ilipoonekana ndoa kongwe zaidi zote, ni ya mchungaji mstaafu mzee Manento aliyelishana keki na mke wake waliodumu kwenye ndoa kwa miaka 65.
"MC" Singo akiendelea na kazi ya kusherehesha sherehe
Mch. Lupia wa mtaa wa Kivule na mke wake wakianza zoezi la kukata keki na nyuma yao ni Mch. Mseli wa mtaa wa Kihonda.
Mch. Mseli akilishwa keki huku mchungaji Lupia akionekana kushangilia tendo hilo la upendo
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Wanandoa wakiendeleza tendo la kulishana keki
Mchungaji mstaafu mzee Manento akimlisha keki "mama mchungaji"
Mama mchungaji akimlisha keki mchungaji mzee Manento. picha zote na Peter Joseph.




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA