Saturday, September 20, 2014

Ni katika hafla ya kuwapokea wana na binti za Mungu waliobatizwa katika mahubiri ya mlipuko jijini mwanza,watu 55 wamebatizwa katika kanisa la bugarika ambapo kwaya ya kanisa,BAC, Kwaya ya vijana pamoja,pathfinder adventure na Dorcas zilitoa huduma ya uimbaji katika vituo.vitatu vya mahubiri kwa kanisa letu,usishangae sana nyuma ni jengo la zamani lililo ndani ya jengo jipya kwa neema ya Yesu nalo litabomolewa kabisa muda si mrefu



WASHIRIKI KATIKA PICHA YA PAMOJA
PICHA ZOTE NA ISAYA MBETWA

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA