Ni filamu ya dakika 11 iitwayo 'BABA YANGU'.
Inaonesha alivyopigwa risasi katika eneo la kijijini.
"BABA YANGU" iliundwa na wafanyakazi wanane waliifanya kazi kwa bajeti ya dola za kimarekani 1,500. Filam hiyo ilichukua siku 15, pamoja na uzalishaji wa mwisho ikachukua siku 20. Filamu ilitengenezwa katika kijiji kidogo Kaskazini mwa Mkoa wa Liaoning huko nchini China.
Wanaeleza kwamba:
"Lengo la ushiriki wao haikuwa kushinda tuzo, bali ni kuvutia na kuhimiza zaidi vijana kushiriki katika uinjilist kwa njia ya Internet".
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment