Saturday, September 13, 2014

Mwenyekiti wa Konferensi ya Mashariki mwa Tanzania,Mchungaji Mark W.Malekana ameyasema hayo katika hitimisho la kambi la mtaa wa Magomeni jijini Dar Es Salaam huku akisisitiza kuwa Waafrika tuna kasumba za kuhafifisha injili kwa njia mbalimbali ikiwemo;-1Kukosa ubunifu katika kazi nzima ya injili na si injili kuhubiriwa kwa mfumo uleule na kwani hii itapelekea kutoleta hamasa kwa umma iliyokusudiwa 2.Kukosa uzalendo 3.Upendeleo wa kindugu(hapa kisa ni ndugu yako ndo unampa nafasi ya kuhudumu katika taasisi ya kanisa hata kama hana vigezo eti kisa tu ni kabila moja na Mchungaji basi iwe sababu ya kupata nyazifa fulani 4.Visasi navyo pia huchangia kuua uinjilisti katika nchi za Kiafrika 5.Unyimifu pia ni tatizo kwa habari uchoyo baina ya wakristo na hii hupelekea kazi ya Bwana kufanyika bila ufanisi 6.Vurugu makanisani nalo ni moja kati ya sababu ambazo pia huchangia kudolola kwa kazi hii ya injili 7.Kupuuza tunu za Kanisa,tunu hizi ni kama harusi zetu,mafundisho yetu nyimbo na kusoma Biblia ...
Mbali na sababu hizo alisisitiza kuwepo na ubunifu katika mafundisho yetu katika kuhubiri na hii itafanya watu wapende kufatilia,pia aliasa viongozi wapate kutambua vipawa ndani ya kanisa na kupata kuvipalilia na hata kama wameona kuna karama ya uongozi kwa kijana fulani basi muhimu kuinuka na kuitazama kisha kuanza kuifanyia kazi..
MWENYEKITI WA KONFERENSI YA MASHARIKI MWA TANZANIA,MARK W.MALEKANA AKIZUNGUMZA KATIKA KIPINDI MAALUM SIKU YA KUHITIMISHA KAMBI..

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA