Monday, September 15, 2014

Hapa wachungaji wakitoka ziwani kwa furaha kuu baada ya kumaliza zoezi la ubatizo
Mzee Mondoka wa kanisa la Nyamozobe mtaa wa Nyegezi akitoa maelekezo ya kuwapokea waumini wapya
Mama Robert Katuma akitoa mafunzo juu ya Afya.
Hapa ni Nyegezi kanisani waumini wapya wakila kiapo kabla ya kwenda kubatizwa.
Pastor Mahende Katibu wa Mara conference.
Pastor Mahende na mke wake katibu wa Mara conference akitambulishwa kwenye kikao cha watenda kazi Mabatini kanisani mwanza.
Wahudumu wa Mahubiri ya Mlipuko wa kanisa la Nyegezi, toka kushoto ni Mwinjilisti kuhoka, Henry, Esther mwakalinga wakifuatiwa na mke wa pastor na Pastor Meshack Mahende.
 Hawa ni watenda kazi wa Kanisa la Nyegezi, pichani toka kulia ni Joshua Magesa(mawasiliano) Chausiku Mgeta(mwinjilisti) Mzee wa kanisa Phares, Nikanol, Baraka Kusekwa(mawasiliano) na Goodluck Nyamhandi(mawasiliano mtaa wa Nyegezi)
picha na 
Mwanza Cityevangelism

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA