MCHUNGAJI HARUNI N.KIKIWA" CHAGUA UKWELI ILI UKUWEKE HURU NDIYO KAULI MBIU YA MKUTANO WA INJILI NITAKAO UENDESHA MAENEO YA UWEMBA MJINI NJOMBE KWA MAJUMA MATATU KUANZIA LEO JUMAPILI YA TAREHE 14/09/2014 HADI 04/10/2014
NITAKUWA NA KWAYA YA KIINJILISTI YA KANISA LA KEKO KUTOKA MTAA WA TEMEKE JIJINI DAR..
MAOMBI YAKO NA MCHANGO WAKO UTAKUWA WA MUHIMU SANA KWA MAJUMA HAYA MATATU"
MCHUNGAJI HARUNI N.KIKIWA ATAKUWA AKIENDESHA HUDUMA HII KWA MAJUMA MATATU |
KWAYA YA KEKO SDA WATAHUDUMU PIA KATIKA MKUTANO HUU |
KWAYA YA KEKO SDA WATAHUDUMU PIA KATIKA MKUTANO HUU |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment