Thursday, September 25, 2014

Pr Davis Fue,ambaye ni katibu mkuu wa kanisa la waadventista wasabato jimbo kuu la kaskazini(aliye vaa miwani,akiambatana na katibu wa jimbo la nyanza kusini lenye makao makuu yake jijini mwanza,mchungaji Ndikumwami,kushoto mwa Pr.Fue,Mchungaji wa mtaa wa igelegele,wenye makanisa ya igelegele,Igogo,mwenge,na bugarika ndiye alikuwa mwenyeji wao,anae onekana kulia mwa Pr Fue,anaitwa Pr nichodemas,lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuonana na watu waliobatizwa katika mahubiri ya mlipuko jijini mwanza ambapo watu 3856 walimpokea yesu kwa njia ya ubatizo,na katika mtaa wetu ni zaidi ya watu 190 walibatizwa,Pr Fue.aliwasisitiza waumini hao wapya kusimama imara ndani ya kanisa lakini pia na wao wanatakiwa kuwaambia wengine habari njema za wokovu.Japo ilikuwa ni programe ya muda mfupi,ilikuwa nzuri sana,bwana awabariki wazee wa makanisa yetu kwa kusimamia kazi ya Mungu kwa mafanikio makubwa.
PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI PIA NA WABATIZWA
PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI PIA NA WABATIZWA
HABARI NA ISAYA MBETWA



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA