Kanisa limeandaa tamasha hili kwa lengo la kuleta ubunifu kwa ibada za Sabato ambapo siku hiyo itakuwa maalum kwa ajili ya kutembelea wagonjwa,utoaji na uchangiaji wa damu na kutakuwa na uimbaji wa kipekee kwani kutakuwa na kwaya yenye mahadhi ya kiislamu.
Hakuna kiingilio kwa siku hiyo na tamasha hili likifanyika katika viwanja vya ukumbi wa KarimJee jijini Dar Es Salaam
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Hakuna kiingilio kwa siku hiyo na tamasha hili likifanyika katika viwanja vya ukumbi wa KarimJee jijini Dar Es Salaam
TEMEKE SDA CHOIR |
0 comments:
Post a Comment