Tuesday, September 23, 2014

Mahubiri yaliyokuwa yakifanyika Katika Jiji la Mwanza, yamefikia kilele chake jumamosi hii ya tarehe 20/9/2014 kwa kushuhudia ubatizo mwingine mkubwa kwa watu wapatao 1606 tena kubatizwa katika ziwa viktoria, hivyo kufanya jumla ya wote waliobatizwa katika mahubiri hayo kufikia 3856.
Mahubiri haya ni sehemu ya mkakati wa Kanisa la waadvetista ulimwenguni kuyafikia majiji yapatayo 630 duniani kwa ujumbe wa injili. kulikuwa na vituo jumla ya 160 vilivyokuwa katika kila kona ya jiji la Mwanza.
UBATIZO UKIENDELEA MAHALI HAPA KATIKA ZIWA VICTORIA
UBATIZO UKIENDELEA MAHALI HAPA KATIKA ZIWA VICTORIA

UBATIZO UKIENDELEA MAHALI HAPA KATIKA ZIWA VICTORIA





****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA