Wednesday, September 17, 2014

Kikundi hiki kimefanikiwa kufanya uzinduzi huu hapa Kanisa la Waadentista Wasabato Moshi Central Mkoani Kilimanjaro na ikiwa imebeba jina la album "WITO WA YESU"
HII NI KWAYA YA VIJANA MOSHI CENTRAL WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI.
HII NI KWAYA YA VIJANA MOSHI CENTRAL WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI.
MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI MR.DICKSON SUKUMBA AKIWA NA MKEWE WAKATI WA ZOEZI LA KUZINDUA CD HII.
MWALIMU WA KIKUNDI CHA GOLDEN TRUMPET SINGERS MR.JOSEPH SASI NAE AKITOA MACHACHE SIKU HII
MWENYEKITI WA KIKUNDI CHA GOLDEN TRUMPET SINGERS BEDISON MKAMA AKISEMA KITU..
MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI MR.DICKSON SUKUMBA AKIWA NA MKEWE WAKATI WA ZOEZI LA KUZINDUA CD HII.

WAIMBAJI GOLDEN TRUMPET SINGERS WAKIIMBA..
WAIMBAJI GOLDEN TRUMPET SINGERS WAKIIMBA..
WAIMBAJI GOLDEN TRUMPET SINGERS WAKIIMBA..

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA