Tuesday, September 16, 2014

MWIMBAJI MIRIAM THOMAS CHIRWA
WIMBO HUU UNAUJUMBE MKALI SANA KWA WAZAZI KUWALINDA WATOTO NA KUWATHAMINI HASA WENYE ULEMAVU WALA SI KUWANYANYA PAA NA KUWATENGA ,UJUMBE HUU UNAPOWAGUSA WATU KATIKA VIWANJA VYA MAKUTANO YA HAPA NA KUMPONGEZA MTOTO MIRIAM T.CHIRWA WAKIWEMO MANAIBU MAWAZIRI NA WABUNGE,HAKIKA INJILI ITAWAFIKIA WATU WOTE..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA