Kumekuwepo na mitazamo mbali mbali katika ulimwengu wa imani za kidini kuhusu hali ya watu wanaokufa, wengi wanadhani kuna jehanamu wanakokwenda waovu na waliotenda haki kwenda peponi lakn je ni kweli? Tuangalia ASILI YA UHAI wa mwanadamu
MAVUMBI+PUMZI YA MUNGU=NAFSI HAI Kwa mujibu wa Mwanz.2:7 hivyo MFU=MAVUMBI-PUMZI YA UHAI. Kumekuwepo na dhana ya ROHO HAIFI bali uhama toka kwa mtu anapokufa, JE ROHO Isiyokufa inatoka wapi mbona hatuoni mwanadamu akipewa wakati wa uumbaji? Neno NAFSI, ROHO au PUMZI aliyonayo mwanadamu ni kitu kile kile kwani maneno hayo yanatokana na neno la kiyunani-PNEUMA. Hivyo watu waliokufa HAWAJUI NENO LOLOTE-Mhub.9:5-6 wanakuwa wamelala usingizi, je unapokuwa ktk usingizi unajua kinachoendelea mahali ulipo? jibu ni HAPANA na ndivyo hali ya wafu na tena HAKUNA WAFU WALIOPO JEHANAMU AU PEPONI, Biblia inasema, watafufuliwa siku ya kurudi kwa KRISTO mara ya pili, waovu wataenda motoni na wema mbinguni-Dan.12:2-3, 2Kor.15:50-58, 1Thes.4:13-18 Mungu akubariki unapotafakari!!!
HABARI NA Gibson Wilson
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

HATUNA MDA WAKUPOTEZA WOKOVU NI SASA MUNGU AKUTANGULIYE MPENDWA.
ReplyDelete