Sunday, October 26, 2014

WATU 20 WAMECHAGUA UKWELI NA KUAMUA KUBATIZWA KATIKA MIKUTANO YA INJILI KWA MIJI MIKUU INAYO ENDELEA MJINI IRINGA KITUO CHA MWEMBETOGWA .
MAHUBIRI YAMEANZA 12/10/2014 HADI 01/10/2014
MUHUBIRI: MCHUNGAJI. HARUNI N.E KIKIWA
KWAYA:MLIMANI KUTOKA MAFINGA
UBATIZO UMEFANYIKIA MTO RUWAHA ULIOPO MJINI IRINGA
TUNASHUKURU KWA MAOMBI YENU. SASA TUNAINGIA JUMA LA TATU HEBU MTUKUMBUKE KWA MAOMBI.
KWA MUJIBU WA TAARIFA NILIZO PATA LEO KUNAVITUO VINGINE 6 AMBAVYO VIMEENDESHA UBATIZO WA JUMLA YA WATU 51 NA KUPELEKEA LEO KUWA NA JUMLA YA WATU 71 WALIO BATIZWA MJINI IRINGA.
HABARI NA MCHUNGAJI KIKIWA
MCHUNGAJI KIKIWA AKIWA KATIKA HUDUMA YA UBATIZO
HAWA NI KWAYA YA MLIMANI KUTOKA MAFINGA NDIO WAHUDUMU KWA SEHEMU YA UIMBAJI

WASHIRIKI WAKISHUHUDIA UBATIZO HUU 
MCHUNGAJI KIKIWA AKIWA KATIKA HUDUMA YA UBATIZO

WASHIRIKI WAKISHUHUDIA UBATIZO HUU 

MCHUNGAJI KIKIWA AKIWA KATIKA HUDUMA YA UBATIZO
WABATIZWA WAKICHUKULIWA  MAJINA YAO TAYARI KWA HUDUMA YA UBATIZO
MCHUNGAJI KIKIWA AKIWA KATIKA HUDUMA YA UBATIZO
MCHUNGAJI KIKIWAKIWA KATIKA SEHEMU YA HUDUMA YA KUHUBIRI 

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA