Sunday, October 26, 2014

SEHEMU YA KISIMA CHA KISASA KITAKUWA  KWA CHINI NA JUU KUTAKUWA NA TANKI LA MAJI

MATOFALI YALIYOTAYARI KWA KUKAMILISHA UJENZI WA STOO YA KANISA
SEHEMU MA MAHALI AMBAPO STOO YA KANISA NA JUU YAKE KUTAKUWA NA SEHEMU YA MAEGESHO YA MAGARI.
KOKOTO HIZI PIA HUITAJIKA KATIKA UJENZI NA HAPA NI SEHEMU YA MAANDALIZI YA KUTENGEZA STOO YA KUIFADHIA VIFAA VYA KANISA.
SEHEMU YA KANISA LA KIMARA SDA LINAVYOONEKANA LIKIWA KATIKA MAANDALIZI YA KUKALIKA UJENZI WAKE.
SEHEMU YA KANISA LA KIMARA SDA LINAVYOONEKANA LIKIWA KATIKA MAANDALIZI YA KUKALIKA UJENZI WAKE.




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA