Siku ya jana kwaya toka Temeke sda,waliduhumu kwa njia ya nyimbo tangu asubuhi kwenye shule sabato hadi vipindi vya mchana wakibariki washiriki kwa nyimbo kama Jiwe na Haleluya kolasi na wito wa siku hiyo ukipewa nguvu na somo likiitwa "TAI" toka kwa mhubiri Maotola J.Lumbe toka Arusha na somo hili likieleza sifa za ndege Tai ambazo pia zilionyesha uhalisi wa maisha ya mkristo katika safari yake kwenda mbinguni.
WAIMBAJI KWAYA YA KIMARA WAKITOA HUDUMA YA NYIMBO SIKU YA JANA. |
MWINJILISTI MAOTOLA JOHN LUMBE AKITOA WITO WAKATI WA IBADA KUU NA KUSHOTO NI MZEE WA KANISA MR.MASIGE. |
MWINJILISTI LUMBE AKITOA ZAWADI KWA WAGENI WALIOHUDHULIA SABATO MAALUM YA WAGENI HAPO JANA. |

KWAYA YA TEMEKE SDA WAKIMTUKUZA MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI |
MWINJILISTI LUMBE AKITOA ZAWADI KWA WAGENI WALIOHUDHULIA SABATO MAALUM YA WAGENI HAPO JANA. |
WANAKWAYA TOKA TEMEKE (WAKIONA SALE ZA BLU NA NYEUSI)WAKISHIRIKI WIMBO WA KITAMBUNI NA KWAYA WENYEJI KIMARA (WENYE MAJOHO) KATIKA KUMALIZIA KIPINDI CHA UIMBAJI. |
WASHIRIKI WENYEJI KWA WAGENI WAKIPATA CHAKULA WAKATI WA MAPUMZIKO YA MCHANA MARA BAADA YA IBADA. |
WATU WAKIWA WAMEJITOA KWA WITO WA KUMRUDIA BWANA MARA BAADA YA KUPATA UZOEFU WA SOMO LA NDEGE TAI LILLOLETWA NA MWINJILISTI LUMBE NA MWINJILISTI MWANDAMBO AKITOA OMBI LA KWANZA KATIKA WITO HUU. |
WASHIRIKI WENYEJI KWA WAGENI WAKIPATA CHAKULA WAKATI WA MAPUMZIKO YA MCHANA MARA BAADA YA IBADA. |
WASHIRIKI WAKIFATILIA KINACHOJIRI KATIKA SIKU MAALUM YA WAGENI. |
WASHIRIKI WAKIFATILIA KINACHOJIRI KATIKA SIKU MAALUM YA WAGENI. |
MWINJILISTI LUMBE AKITOA ZAWADI KWA WAGENI WALIOHUDHULIA SABATO MAALUM YA WAGENI HAPO JANA. |
MWINJILISTI LUMBE AKITOA ZAWADI KWA WAGENI WALIOHUDHULIA SABATO MAALUM YA WAGENI HAPO JANA. |
MWINJILISTI LUMBE AKITOA ZAWADI KWA WAGENI WALIOHUDHULIA SABATO MAALUM YA WAGENI HAPO JANA. |
MWINJILISTI LUMBE AKITOA ZAWADI KWA WAGENI WALIOHUDHULIA SABATO MAALUM YA WAGENI HAPO JANA. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment