Monday, October 27, 2014

HABARI KWA HISANI YA MTANGAZAJI BLOG


Kundi la Nyimbo za Injili toka katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Temeke jijini Dar es salaam linaloundwa na waimbaji waimbaji wanne la VocaPELLA (Pichani Juu) Oktoba 24,2014 walifanya tamasha la kusifu na kuabudi,tamasha lililofanyika kanisani hapo na kuhudhuriwa na waimbaji mbalimbali.
    Haroun akipiga gitaa
    Family Singers
Leah Mudy akiimba baada ya hivi karibuni kuamua kurudi katika uimbaji wa nyimbo za Injili




  Haika Mbaga
Kundi la Watoto wa MUNGU


0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA