Baadhi ya picha za hii leo kwenye Sabato ya Ujirani Mwema katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Tegeta jijini Dar es salaam,Mnenaji alikuwa ni Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Unioni ya Kusini mwa Tanzania Mch Magulilo J Mwakalonge ambapo Kurasini Choir walikuwa waimbaji rasmi.
picha kwa hisani ya mtangazaji maduhu
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
picha kwa hisani ya mtangazaji maduhu
Washiriki wageni kwa wenyeji wakifatilia yale yanayojili katika viwanja hivi kwaya ya kurasini wakihudumu kwenye nafasi ya uimbaji. |
Washiriki wageni kwa wenyeji wakifatilia yale yanayojili katika viwanja hivi |
Washiriki wageni kwa wenyeji wakifatilia yale yanayojili katika viwanja hivi |
Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Unioni ya Kusini mwa Tanzania Mch Magulilo J Mwakalonge akizungumza jambo katika siku hii. |
Mwalimu Samson Kibaso akipiga kinanda |
Washiriki wageni kwa wenyeji wakifatilia yale yanayojili katika viwanja hivi |
Kushoto ni mafundi mitambo wakiweka vitu sawa. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment