Tuesday, October 14, 2014

UWANJA HUU UPO KARIBU NA STANDI KUU YA MKOA.
MUHUTUBU MKUU NI MCH. HARUNI KIKIWA
TUKO NA KWAYA KUTOKA WILAYANI MFINDI
KAULIMBIU YA MKUTANO HUU: MKOA WA IRINGA CHAGUA UKWELI UKUWEKE HURU
KARIBU SANA KARIBU SANA.
KARIBUNI PIA KATIKA MIKUTANO YA INJILI KWA MIJI MIKUBWA AMBAYO IMEANZA LEO TAREHE 12/10/2014 HADI 01/11/2014 KATIKA YA MAENEO MBALI MBALI MIKOA YA IRINGA, NJOMBE,RUVUMA,KATAVI,NA RUKWA.
MCHUNGAJI HARUNI KIKIWA NDIYE ATAKUWA MNENAJI KATIKA MKUTANO HUU


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA