Tuesday, October 14, 2014

JUMAMOSI HII(11/10/2014) NIKIWAANDAA WACHUNGAJI,WAZEE WAKANISA,NA WASHIRIKI KWAAJILI YA SIKU MAALUMU YA KUOMBEA NA KUCHANGIA MORNING STAR TV. PIA KATIKA SIKU HII NILITOA WITO WA WALIO TAYARI KUTENGA KIASI CHA FEDHA KILA MWENZI KWAAJILI YA KUITEGEMEZA TV YETU(YAANI MARAFIKI WA MSTV). WATU ZAIDI YA 60 WALIJITOA KWAAJILI YA KUJISAJILI,
WAKATI HUO HUO HUKO JIJINI MBEYA KULIKUWA NA KUSANYIKO KUBWA KATIKA KANISA LA MBEYA KATI MCH. JAMES MACHAGE AMBAYE NI KATIBU MKUU WA STU PAMOJA NA MCH. RABSON NKOKO MKURUGENZI WA MAWASILIANO STU WALIENDESHA PROGRAM HII NA MWITIKIO ULIKUWA MKUBWA SANA.
HEBU JIANDAYE KUTOA KIASI KIKUBWA TAREHE 01/11/2014 ILI KUWEZESHA TV YETU
MCHUNGAJI HARUNI KIKIWA NDIYE ALIKUWA MTOA SEMINA HIZI NA KUTOA HAMASA KWA WASHIKI JUU YA JUKUMU LA KUCHANGIA RUNINGA YAO YA MSTV.

MCHUNGAJI VALENTINO TOSSI AMBAYE NI CHUNGAJI WA MTAA WA KIHESA-IRINGAHABARI NA HARUNI KIKIWA

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA