Mkurugenzi wa kituo cha Morning Star Televisheni Mr.Mazara Edward Matucha akiongea na injilileo Blog amesema tukio ambalo linaenda kufanyika kesho ni moja kati ya shukrani za pekee kwa washiriki wa MSTV ambapo kutakuwa na kubadilishana kwa mawazo baina ya wadau wa Mstv na viongozi wa Mstv kwa maongezi ya ana kwa ana kwa mrejesho wa kile kilichofanyika na ambacho kimefanyika na mipango ya sasa juu ya runinga hii.
Siku hiyo itakuwa nzuri na maalum kwa kutoa mwanya kwa watu binafsi au familia kuwa marafiki wa Mstv kwa kuchukua kadi maalum za kuchangia kazi za Mstv kwa mpango,ambako mchangiaji anaweza amua kuchangia kwa muda anaotaka na ikitoa mawasiliano ya namna ya kuwasilisha mchango huo.
Kuwa na marafiki hawa Mstv italeta ukaribu kwao kujua nini kinafanyika lini na wapi,na kupata mialiko kadhaa toka Mstv inapotokea hitaji la kufanya hivyo.
Wito ni kuja kujuika na marafiki zako toka Mstv na wengine toka sehemu mbalimbali.
Siku hiyo itakuwa nzuri na maalum kwa kutoa mwanya kwa watu binafsi au familia kuwa marafiki wa Mstv kwa kuchukua kadi maalum za kuchangia kazi za Mstv kwa mpango,ambako mchangiaji anaweza amua kuchangia kwa muda anaotaka na ikitoa mawasiliano ya namna ya kuwasilisha mchango huo.
Mkurugenzi wa kituo cha Morning Star Televisheni Mr.Mazara Edward Matucha akiongea na injilileo Blog jana tarehe 9/10/2014 ndani ya kituo hicho maeneo ya kanisa la Waadventista wasabato Ushindi |
Wito ni kuja kujuika na marafiki zako toka Mstv na wengine toka sehemu mbalimbali.
Mkurugenzi wa kituo cha Morning Star Televisheni Mr.Mazara Edward Matucha akiongea na injilileo Blog jana tarehe 9/10/2014 ndani ya kituo hicho maeneo ya kanisa la Waadventista wasabato Ushindi |
0 comments:
Post a Comment