Jengo hili likiisha tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana.... |
S.Baravuga, Mkaguzi E.C.D wapili kutoka kushoto kifurahia maendeleo ya msingi wa jengo la utawala A.A.S |
Kwakwel shule hii inapendeza sana... |
Safari ya kuona mabweni ya ndo hiyooo.... ikiongozwa na S/Master..B.Yohana |
Mkurugenzi wa elimu W.T.C akimwelekeza Mgeni toka E.C.D ofisi ya mkuu wa shule ili kusaini daftari la wageni |
S.baravuga mkaguzi toka E.C.D akiangalia maendeleo ya msingi wa jengo la Utawala A.A.s
|
Pia mradi wa matofali ya kupachika ulikuwa ni moja ya vitu vilivyo mstaajabisha, mkaguzi toka E.C.D. na hapa Muhazini wa W.T.C akielezea faida ya hayo matofali |
S.baravuga Aki saini Daftari la wageni mara baada ya kufika shule Alpha |
Muhazini wa W.T.C akielezea jinsi washiriki walivyo jitolea kujenga hii shule, |
Muhazini wa W.T.C..kutoka kushoto akiwa pamoja na S.Baravuga Mgaguzi wa (E.C.D), Muhazina wa A.A.S pamoja na Mkurugenzi wa elimu W.T.C |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment