MIKUTANO YA CHAGUA UKWELI UKUWEKE HURU ILIYO KUWA IKIENDESHWA NA MCH. HARUNI KIKIWA, KWAYA YA KEKO, NA KANISA LA NJOMBE HUKO UWEMBA NJOMBE ILIYO ANZA 14/09/2014 HADI 04/10/2014 YAISHA KWA JUMLA YA WABATIZWA 19
|
SEHEMU YA WASHIRIKI WAKIWA KATIKA MAANDILIZI YA UBATIZO ULIOFANYWA NA MCHUNGAJI HARUNI KIKIWA. |
ASANTENI NYOTE KWA MICHANGO YENU NA MAOMBI YENU MUNGU AWABARIKI KWANI SASA UWEMBA SITAWI LA SHULE YA SABATO TENA BALI NI KUNDI.
|
MCHUNGAJI HARUNI KIKIWA AKIWA KATIKA HUDUMA YA UBATIZO AMBAPO WATU 19 WALIPATA KUBATIZWA UWEMBA NJOMBE. |
|
MCHUNGAJI HARUNI KIKIWA AKIWA KATIKA HUDUMA YA UBATIZO AMBAPO WATU 19 WALIPATA KUBATIZWA UWEMBA NJOMBE. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment