HII NI SEHEMU YA KANISA UWEMBA LIKIWA TAYARI LIMEFIKIA KWENYE PAA LA JUU KWA KUEZEKWA NA IKIBAKI SEHEMU KIDOGO TU YA UJENZI HUO. |
HII NI SEHEMU YA KANISA UWEMBA LIKIWA TAYARI LIMEFIKIA KWENYE PAA LA JUU KWA KUEZEKWA NA IKIBAKI SEHEMU KIDOGO TU YA UJENZI HUO. |
WAKATI WA MIKUTANO YA CHAGUA UKWELI UKUWEKE HURU ILIYO ENDESHWA NA MCH. HARUNI KIKIWA, KWAYA YA KEKO KUTOKA DAR NA KANISA LA NJOMBE KATIKA ENEO LA UWEMBA NJOMBE TOKA TAREHE 14/09/2014 HADI 04/10/2014 WAKATI HUOHUO UJENZI ULIANZA JUMA LA TATU KWA UHISANI WA WATU WANJOMBE NA MARAFIKI WA FACEBOOK NA MPAKA IJUMAA YA TAREHE 03/10/2014 JENGO LILIKUWA KATIKA HALI HII.
BWANA AWABARIKI NYOTE MLIO TOA NA MNAO ENDELEA KUTO ILI KUIBARIKI KAZI YA MUNGU.
NA HARUNI KIKIWA
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment